chacha2016
Senior Member
- Oct 21, 2016
- 189
- 119
Kwhy mademu wanapenda mishipaMishipa hiyo sio Misuli, wenzio wa Kitunda wanaitafuta gym daily wawavutie mabinti.
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi. Wenzio wanaitafuta gym ili waonekane wanaume mashababi we unataka uiondoe.. wadada wanaipenda sana wakija hapa watakwambia wenyewe.Nina misuli mingi mingi mikononi hadi nakosa amani na nashndwa kuvaa shati la mikono mifupi hasa kipindi cha jua kali (mchana)
Mwenye kujua kama kuna mafuta ya kupaka au dawa za kutumia ili kuipunguza au kuondoa kabisa hii misuli mikononi tafadhali anisaidie au hata kwa ushauri tu.
[HASHTAG]#jfhakishndkanikitu[/HASHTAG]
View attachment 428645
πππacha kumtishaPole sana mkuu huwa inaanzia mishipa hiyo na baadae unafuata ule mkubwa unaoitwa busha huwezi ukwepa.
Hata kama ukiwa na mshipa hutokosa mwanamke.Kwhy mademu wanapenda mishipa