king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,033
MishipaMkuu una misuri au mishipa tuchanganulie ipasavyo pulizi.
Hahahaa hy bnKweli kwenye miti hakuna wajenzi. Wenzio wanaitafuta gym ili waonekane wanaume mashababi we unataka uiondoe.. wadada wanaipenda sana wakija hapa watakwambia wenyewe.
Mingi sana asee had ina boaSasa hiyo ni mingi?
Bidhaa gani hii??Naona Jamaa anajitangaza Kinamna ili apate Wateja
Hahahaaaaa...umetshaPole sana mkuu huwa inaanzia mishipa hiyo na baadae unafuata ule mkubwa unaoitwa busha huwezi ukwepa.
Leta tgo pesa #ulipie tangazo lako hili wewe bwana..
Wapo hadi nawakimbia mkuuuHata kama ukiwa na mshipa hutokosa mwanamke.
Kabsaaaaa...ten wengne wanasema wanaitamaniHayo ni maumbile ya M/Mungu yaboreshe tu Mkuu ! Kama kuna mtu anakwambia hupendezi basi yupo anayeitamani ...!!
Ningeshangaa useme unaipenda nifanye kufuru sasa hivi.mkuu ndo uanaume huo...madada wanaipenda kasoro mimi...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] JF is never boringPole sana mkuu huwa inaanzia mishipa hiyo na baadae unafuata ule mkubwa unaoitwa busha huwezi ukwepa.