Msaada wa dawa ya kupunguza misuli mikononi

Msaada wa dawa ya kupunguza misuli mikononi

Huyu n mwanamke anamisuli hiyo au bwabwa

Maana mwanaume wa kweli sidhan km atakuwa na.muda wakuwaza hivyo
Anywaw
Dawa n anza kula supu ya maana ya maana asubuh,mchana ugali kitimoto,na jion.kabla ya bia kula mchemsho na ndiz na.baada ya hapo bia..penda kulala sana zaid ya mama mjamzito...ndan ya mwezi hauta iona

Onyo
Usidhubutu kufanya mazoez
Panda gar au bodaboda hata km umbali n.ubungo mpk shekilango

Hakika ukifanya hivyo kwa mwez kadhaa na.mishipa km bado ipo basi muone dr
 
Mura - unataka uwe laiiiini kama mwanaume wa Dar? Misuli hiyo ni ishara ya uanaume tena ikiwa kwenye dushe ndo inaashiria ile tunaita "the reign of terror"

Unashangaza mura...
 
Mzee naona ugoko huo wa ki sentaaafu(no.8) au hauchezi mpira blaaaza?
 
Pole sana mkuu huwa inaanzia mishipa hiyo na baadae unafuata ule mkubwa unaoitwa busha huwezi ukwepa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] JF is never boring
 
Ugua gono sugu au TB ukipata zile Sindano za mishipa itakimbia yote
 
Hata mie jamani hiyo mishipa ninayo kwenye mikono na miguu imooo....!!
Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi anijuze sababu ya hii mishipa kutoka namna hiyo....
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Sasa mbona hajaonesha mishipa anayosema anayo mingi? Mi nilidhani ana mishipa mingi kumbe hamna kitu. Ngeweza kukuonesha ya kwangu na muscles zake ungetaman sana.mi shat zangu zote nlitaman ziwe short sleeves maana inapendwa sana hii michirizi na ni sababu ya kupiga sana forearm.
 
Na pia usichanganye. We huna misuli kwa huo mkono wako naona mishipa. Misuli huipati kirahisi. Lazima ugangamae
 
Back
Top Bottom