Tatizo haukunywa energy drinks. Saa mbili chaliiii mwendo wa pono.[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo haukunywa energy drinks. Saa mbili chaliiii mwendo wa pono.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo ni wewe unapenda sana wine [emoji485] ulikunywa kwa kupania halafu ikakuzidi leo tutaanza na bubbles shower [emoji371] then tunahamia ukumbini cute bTatizo haukunywa energy drinks. Saa mbili chaliiii mwendo wa pono.[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ila ulivyolala Mimi nilikubaka[emoji85][emoji85][emoji85] hakija haribika kituTatizo ni wewe unapenda sana wine [emoji485] ulikunywa kwa kupania halafu ikakuzidi leo tutaanza na bubbles shower [emoji371] then tunahamia ukumbini cute b
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] You are sweet as red wine [emoji485], you taste so goodIla ulivyolala Mimi nilikubaka[emoji85][emoji85][emoji85] hakija haribika kitu
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Tafuta mwanamke mwenye kisirani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta mwanamke mwenye kisirani
[emoji7][emoji7] cute bIla ulivyolala Mimi nilikubaka[emoji85][emoji85][emoji85] hakija haribika kitu
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nasikia kahawa inapandisha pressure ndio mana inapendwa na wazee, jaribu kudadisi zaidi isije ikakuletea shida huko mbeleniWakuu, habari za wakati huu.
Nimekuja kwenu kuomba msaada wa dawa ya kupunguza kulala.
Nalala mapema sana, naweza kulala sa 1, sa 2 au hata sa 12 kama nimewahi kurudi nyumbani.
Nahitaji dawa angalau ya kuniweka macho angalau hadi sa 4 au sa 5 usiku. Hii ya kulala mapema inanikwaza sana. Nilipokua mdogo nilikua naweza kulala hata kuanzia sa 11 jioni. Na nilipokua mdogo zaidi naambiwa nikilala sa 11 jioni nitaamka kesho sa 5 au sa 4 asubuhi, watu walikua wanadhani nimekufa. Sasa hili naona linaniandama hadi sasa. Nilipokua nasoma shule ya bweni, naambiwa nikae prep hadi sa 4 ilinishida, sa 2 tu nishaenda kulala au nalala darasani.
Angawaje nawahi kuamka hata kama nikilala sa 10 ikifika sa 12 lazima niamke ila hii ya kuwahi kulala inaniboa sana.
Naweza kua mahala labda Bar ingawa sinywi pombe kwa ajili ya kubuy time ili nisiwahi kulala ila muda wote nahisi usingizi.
Naombeni msaada wa natural remedies au hata over the counter medications.
Ahsanteni sana.
MREJESHO.
Wakuu, nawashukuruni sana mlionishauri nitumie kahawa.
Kabla sijatoka ofisini sa moja hivi kasoro nikamuomba mama mhudumu wa ofisi aniandalie kikombe cha gawaha ila mara moja zaidi ya kipimo cha kawaida.
Toka nimefika nyumbani sa moja niko sebuleni natazama tv wala sijahisi aina yoyote ya usingizi kitu ambacho sio kawaida kabisa kwangu, ningekua nishalala sebuleni au kuhisi kwenda kulala muda mrefu sana.
Itabidi niweke kahawa kama kinywaji changu rasmi kunywa masaa kadhaa kabla ya kulala ili niwe nakua macho angalau hadi sa 4 au 5.
Ahsanteni sana. Karbuni tuangalie televisheni.
View attachment 1003839