Huyo mtu amevuta sigara kwa muda gani? Kama ameamua mwenyewe kwa hiari yake na ini lake bado liko salama atakuwa salama baada ya kuacha vitu hivyo. Ini ni organ inayojirekebisha lenyewe kama bado halijaharibika sana. Kama anawasiwasi na mapafu kwa kuvuta sigara aende hospitali akafanyiwe lung function test.Habarini wana JF polenii na majukumu na miangaiko ya jumapili ya leo.Nimekuja JF Doctor kutafuta, hasa kunijuza naweza wapi kupata dawa ambayo itamsaidia mtu aliyekuwa mvuta sigara na mtumiaji wa pombe kali , ili kusafisha kifua iwe ya mitishamba au ya kiwandani.....Muwe na jioni njema
Ameacha kwa ana mwezi sasa , tatizo anabanja sana na kukohoa..kwa maana hiyo hali hiyo itaisha yenyewe au kuna vyakula au dawa anatakiwa atumieHuyo mtu amevuta sigara kwa muda gani? Kama ameamua mwenyewe kwa hiari yake na ini lake bado liko salama atakuwa salama baada ya kuacha vitu hivyo. Ini ni organ inayojirekebisha lenyewe kama bado halijaharibika sana. Kama anawasiwasi na mapafu kwa kuvuta sigara aende hospitali akafanyiwe lung function test.
Inawezekana akawa na chest infection bronchitis na amuone daktari ikiwezekana sample ya makohozi yake yapelekwe laboratory kama ni TB pia ijulikane atibiwe.Ameacha kwa ana mwezi sasa , tatizo anabanja sana na kukohoa..kwa maana hiyo hali hiyo itaisha yenyewe au kuna vyakula au dawa anatakiwa atumie