Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 941
Habarini wana JF polenii na majukumu na miangaiko ya jumapili ya leo.Nimekuja JF Doctor kutafuta, hasa kunijuza naweza wapi kupata dawa ambayo itamsaidia mtu aliyekuwa mvuta sigara na mtumiaji wa pombe kali , ili kusafisha kifua iwe ya mitishamba au ya kiwandani.....Muwe na jioni njema