Msaada wa dawa ya kutibu anal fissures

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
359
Habari zenu wakuu!

Kwa kipindi kirefu mdogo wangu wa kiume amekuwa akisumbuliwa na tatizo la maumivu wakati na baada ya kujisaidia.

Ameenda hospitali akapewa dawa ya kupaka ya diclopar(kwa ajili ya kupunguza maumivu), ila akambiwa kwamba ana tatizo la anal fissure(mchubuko sehemu ya haja kubwa) lakini utapona wenyewe baada ya siku chache.

Tatizo hili limeendelea kwa muda sasa takribani wik 3, hivyo anayefahamu dawa nyingine tafadhali anisaidie.
 
ale dawa za kuharisha alafu ale mapapai ajisafishe vizuri kwa deto ya maji mara kwa mara na kujifuta kwa taulo kavu baada ya muda atapona kabisa,ila anywe juyce sana na mboga asile Cabohydrates sana kwa sasa angalia kwa makino mlo wa hapo nyumbani ili tatizo lisirudi tena
 
Ungeweka na picha ingependeza kujua ukubwa wa tatizo. Nakushauri utafute hela umpeleke hospitali ya Apolo India ndo kuna tiba nzuri sana.
Kule ndo kuna madaktali, hapa kwetu kuna wajukuu wa madaktari tu-hawana uwezo wa kutibu kabisa.
Kumbuka kumpiga picha then utupie, ni muhimu sana aiseee.
 

[h=1]Anal fissure[/h]
 
Jaribu hii maji ya ganda la mgomba unaliponda na kupaka kwenye unyeo kutwa mara tatu kwa wiki mbili atapona inshallah akipona usisahau kuja kutupa feedback
 
Apo mwenyewe nimekumbwa kwani maumivu nayapata makali sana lakini nkitumia DETTAL maumivu hutilia kama sina tatizo ila nkienda kujisaidia tena na damu juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…