IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 745
- 359
Habari zenu wakuu!
Kwa kipindi kirefu mdogo wangu wa kiume amekuwa akisumbuliwa na tatizo la maumivu wakati na baada ya kujisaidia.
Ameenda hospitali akapewa dawa ya kupaka ya diclopar(kwa ajili ya kupunguza maumivu), ila akambiwa kwamba ana tatizo la anal fissure(mchubuko sehemu ya haja kubwa) lakini utapona wenyewe baada ya siku chache.
Tatizo hili limeendelea kwa muda sasa takribani wik 3, hivyo anayefahamu dawa nyingine tafadhali anisaidie.