msaada wa dawa ya kutibu meno bila kung'oa

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
200
wadau, habarini za jumapili, naomba msaada wa anayejua dawa ya kutibu meno bila kung'oa, kwani linauma sana , pls nishurini nifanyeje
 
Mafuta ya karafuu

Sent via EyePhone
 
Dawa ya jino ni kung'owa, ila ukitaka kinga using'oe tena meno au yasiharibike nunuwa dawa inaitwa Dental formular power (DFP )
 
mkuu dawa ya jino ni kung'oa. basi!. wewe hilo jino halijaanza kuuma ndo maana unajishaua hapa jf. chezea jino wewe?. unaweza kutoka mile 1 ukatembea hadi muhimbili kwa mguu kuling'oa. mia
 
Nipigie kwenye 0659463709 kuna dawa niliitumia mimi nikapona kabisa, imetengenezwa kwa mitishamba mingi tofautitofauti. Nitakuuzia kwa sh 10,000/= kama upo dar kesho waweza kuipata.
 
mh, unaanza ujasiliamali kwa kufa kufaana!
 
Utakavyoona inafaa mkuu, yeye kataka dawa au zipo za bure?
Dawa ya jino linalouma ni kungoa tu! Nina uhakika baada ya mimi mwenyewe kupoteza sh40000 kutafuta dawa hiyo! Badala ya kutumia sh3000 kulingoa! Kama haamini muache atarudi mwenyewe kuleta Tawire!
 
Hiyo ilikuwa zamani kidogo ndio watu walikuwa wanaamini hivyo kuwa dawa ya jino ni kung'oa. Atang'oa yote. Pole kwa kutumia 40,000/= kwa jino tu. Subiri watakuja wengine mi ngoja niishie hapa. Jumapili njema.

haya ngoja tuone ushuhuda wa zama hizi za digitali!
 
Jeff elezea vizuri jino linaumaje,wakati wote,wakati wa kula,limetoboka nk,sio kila jino linalouma ni kung'oa tu.
 
Last edited by a moderator:
Jeff elezea vizuri jino linaumaje,wakati wote,wakati wa kula,limetoboka nk,sio kila jino linalouma ni kung'oa tu.

mkuu lilikuwa limetoboka likazibwa na sasa ndio linauma,
 
Nipigie kwenye 0659463709 kuna dawa niliitumia mimi nikapona kabisa, imetengenezwa kwa mitishamba mingi tofautitofauti. Nitakuuzia kwa sh 10,000/= kama upo dar kesho waweza kuipata.

kaka na wewe ulitumia ulikuwa umenunua au? mana kwa mujibu wa maelezo yako na wewe ulitafuta mahali leo unataka kuniuzia? je una uhakika inatibu?
 
Mkuu jino limevimba au? Bora urudi likatizamwe lisije kuleta matatizo mengine.

Unaweza kuanza kwa kusukutua kwa kutumia hydrogen peroxide mara mbili kwa siku mpaka utakapo muona daktari wa meno.

Kila la kheri
 
Mkuu, niliinunua na ikaniponya kabisa mpaka leo na anayeiuza nakaa naye nyumba moja na anaiuza kwa bei hiyo hiyo sijaongeza hata sh 10. Fanya mpango mwingine kwanza ukifeli utanitafuta, la mhimu upone.

kaka na wewe ulitumia ulikuwa umenunua au? mana kwa mujibu wa maelezo yako na wewe ulitafuta mahali leo unataka kuniuzia? je una uhakika inatibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…