Msaada wa dawa ya kutibu ukaukaji wa matunda kwenye mti

Msaada wa dawa ya kutibu ukaukaji wa matunda kwenye mti

1 mother

Senior Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
133
Reaction score
367
Naomba msaada wa kujua ni dawa gani nitumie kwa ajili ya kutibu tatizo sugu ambalo linakumba miti yangu aina ya mipera, kila ikiweka mazao, mapera yote yanakauka baada ya kufikia hatua flani.
Naambatanisha picha kwa ufafanuzi zaidi

20211006_104224.jpg
 
Back
Top Bottom