1 mother Senior Member Joined Aug 1, 2017 Posts 133 Reaction score 367 Oct 6, 2021 #1 Naomba msaada wa kujua ni dawa gani nitumie kwa ajili ya kutibu tatizo sugu ambalo linakumba miti yangu aina ya mipera, kila ikiweka mazao, mapera yote yanakauka baada ya kufikia hatua flani. Naambatanisha picha kwa ufafanuzi zaidi
Naomba msaada wa kujua ni dawa gani nitumie kwa ajili ya kutibu tatizo sugu ambalo linakumba miti yangu aina ya mipera, kila ikiweka mazao, mapera yote yanakauka baada ya kufikia hatua flani. Naambatanisha picha kwa ufafanuzi zaidi
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Oct 8, 2021 #2 Mkuu pole Sana.Hebu nipe muda nifuatilie kujua undani wa tatizo hili.
1 mother Senior Member Joined Aug 1, 2017 Posts 133 Reaction score 367 Oct 8, 2021 Thread starter #3 Fall Army Worm said: Mkuu pole Sana.Hebu nipe muda nifuatilie kujua undani wa tatizo hili. Click to expand... Asante sana kiongozi, ntashukuru sana kwa msaada wako
Fall Army Worm said: Mkuu pole Sana.Hebu nipe muda nifuatilie kujua undani wa tatizo hili. Click to expand... Asante sana kiongozi, ntashukuru sana kwa msaada wako