FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela.
Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na kitoto cha watu nikajilia vyangu.
Kitoto kilianza kuumwa umwa tukajua jambo la kawaida, sasa leo tumepima kitoto kina mimba ya miezi mitatu.
Sasa naombeni dawa ya kutoa mimba, iwe ya kienyeji au ya kwenda kununua dukani.
Mimi na kitoto tumesha yamaliza tuitoe.
Maana siyo mimi au yeye anayekula chakula kikashuka.