FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
Usijaribu dawa ya kienyeji utajuta kuzaliwa
Lea hiyo mimba, acha kukwepa majukumuUnapendekeza dawa ipi?
Aende kituo cha afya. Msije mkajaribu kuitoa nyinyi wenyewe ndugu yangu utaona dunia chungu. Inaweza ikaharibika na isitoke ikaendelea kukuwa huku inamsumbua. Utakuja kukosa pakukimbilia.Unapendekeza dawa ipi?
Sasa akizaa utamuhudumia huyo mtoto, unajua financial status ya mtoa mada, au unajua sababu ya msingi kwanini wanataka kuitoa, unajuaje kama huyo binti ni mwanafunzi au familia yao watalichukuliaje hilo jambo au unadhani walivyo chukua hayo maamuzi wenyewe hawana akili.Hamna kutoa.Muache azae.
Nimemuelekeza waje waishi kwangu.Hamna kuua.Sasa akizaa utamuhudumia huyo mtoto, unajua financial status ya mtoa mada, au unajua sababu ya msingi kwanini wanataka kuitoa, unajuaje kama huyo binti ni mwanafunzi au familia yao watalichukuliaje hilo jambo au unadhani walivyo chukua hayo maamuzi wenyewe hawana akili.
Kama imetokea bahati mbaya na mtoa mada alikuwa hajajipanga sio sababu ya kuleta kiumbe kikateseka bure, kuongeza idadi ya watoto wa mitahani
Unaijua sababu kwann wanataka kufanya hivyoNimemuelekeza waje waishi kwangu.Hamna kuua.
Hivi unaweza ukawa na sababu nzuri ya kuua?Unaijua sababu kwann wanataka kufanya hivyo