Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Dua la kuku1. Uasherati,
2. Mimba hua inakataliwa kwa asiye na future na familia.
3. Mtoto akataliwi akizaliwa tu shangwe.
4. Hapo kuna mauaji, kupata shida ya uzazi kwa binti, kupona.
-Binti yangu atapata laana yangu akijaribu tu kutoa mimba na afe.
-Kijana wangu wa kiume akijaribu kutolesha mimba na awehuke milele.
5. Hakuna mimba ya bahati mbaya.
Acha unafiki basi [emoji2]Nipe huyo mwanamke wako mkuu, nitamlea yeye na mtoto. [emoji3173]
Ni wapi hapo naomba information zake for future useNenda MST faster wakaitoe kitaalamu!
Hukupaswa kusema! Okoa kiumbe cha mwenyezimungu! Hao wazazi watarajiwa ni wanaogopa mazingira tu lakini wakifanikiwa kumpata huyo mtoto atakua furaha yao sana!Usijaribu kutumia ya kienyeji utajuta ikigoma kutoka hapo chakukusaidia tumia vidonge vya Misoprostol inauezo wa kutoa mimba ya wiki kati ya 10-13
Ni uhakika na itakugarimu 70000/-
🤠🤠🤠 Mkuu hamna unaa hapo.. Mie nimchekue kwa niaba ya mwamba..Acha unafiki basi [emoji2]
Ni wapi hapo naomba information zake for future use
Ukitoa mimba na wewe utatolewa mimba na wazazi wako katika next life, usije sema hukuonywaNi wapi hapo naomba information zake for future use
You have a wild imaginationUkitoa mimba na wewe utatolewa mimba na wazazi wako katika next life, usije sema hukuonywa
Kanunue dawa inaitwa misoprostol kikoja ataweka chini ya ulimi kingine ukeni .....Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela.
Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na kitoto cha watu nikajilia vyangu.
Kitoto kilianza kuumwa umwa tukajua jambo la kawaida, sasa leo tumepima kitoto kina mimba ya miezi mitatu.
Sasa naombeni dawa ya kutoa mimba, iwe ya kienyeji au ya kwenda kununua dukani.
Mimi na kitoto tumesha yamaliza tuitoe.
Maana siyo mimi au yeye anayekula chakula kikashuka.