Wakuu kama kichwa cha habari.
Nina vimahindi vyangu kama robo heka hiv vina kama mwezi hivi.Ila wadudu wanavishambulia hatari sana.mwenye uzoefu wa daqa ya kutibu hili( kama kuna njia za asili za kutibu zisizo na athali za mazingira nitafurahi sana pia).pia namna ya kizuia hawa wadudu.yaani jinsi wanavyoshambulia mpaka nahisi huenda wadudu walikuwa kwenye mbegu wakati wa kupanda.
Cc.Afisa ugani