Ni wadudu common sn kweny zao la mahindi, kwa kitaalam wanaitwa Fall Army Worm.
Sasa inategemeana na eneo uliopo dawa gani znapatkana sn huko. Mifano ya dawa inayoweza kukusaidia kweny tatizo hilo (based on brand names)
Dk lufu
Wilcron
Profecron
Duduwill
Wahi usije ukapoteza zao hapo.