Msaada wa dawa ya kuzuia magugu: Rilo R500

dmketo

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
589
Reaction score
935
Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500.

Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kupata dawa hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Maduka ya dawa za mifugo na kilimo umeenda hazipo?
 
Mkuu hii kitu Sasa hivi imeadimika balaa Mimi mwenyewe nipo huku Morogoro nimetafuta balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…