natumia mkasi.Acha kunyoa ndevu mara kwa mara zipunguze tu. Aidha huwa unanyoa kwa kutumia machine au razor na huwa unatumia shaving cream na after shave au lah! Inawezekana hizo cream ndo tatizo kama huwa unatumia.
Mkasi?? kidevu sikitakuwa kama kipepe!!!
Kuna ndevu zinaota kwa ndani ndio shida... napata tabu sanaYani unanyoa na mkasi hadi ndevu zote zinaisha? kwa njia hiyo bado hujajua tu tatizo la alama zako? Mkasi ni kwaajili ya kupunguzia tu sio kunyoa kabisa
Upo Mkoa Gani Kiongozi
Sasa nifanyeje mkuu! Maana mashine ya kunyolea inakomazamkasi?? kidevu sikitakuwa kama kipepe!!!
Zinazoota Ndani Mbaya Sana Huleta Upere
Niko Arusha mkuu..Upo Mkoa Gani Kiongozi
Japo Kwenye Maduka Ya Dawa Tsh 2500
Nachoka kila siku kuhangaika na ndevu! Kama kuna dawa ya kuzizuia zisiote milele ningefurahi sanaZinazoota Ndani Mbaya Sana Huleta Upere
Bro inapatikana wapi hii makitu?Tumia sabuni Ya Tetmosal
Brother Maduka Ya Dawa Nyingi SanaBro inapatikana wapi hii makitu?
Nachoka kila siku kuhangaika na ndevu! Kama kuna dawa ya kuzizuia zisiote milele ningefurahi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother Maduka Ya Dawa Nyingi Sana
Ile Sabuni Kiboko Hata Mba Fangasi
Huko Arusha Utapata Yaani Arusha Na Baridi Unapata Tabu Ya Ndevu
Dawa Siijui Ila Sasa Hiyo Sabuni Inaweza Kukusaidia Ukiitumia Muda Wa Week