Msaada wa dawa ya ndevu

Msaada wa dawa ya ndevu

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
12,599
Reaction score
26,263
Acha kunyoa ndevu mara kwa mara zipunguze tu. Aidha huwa unanyoa kwa kutumia machine au razor na huwa unatumia shaving cream na after shave au lah! Inawezekana hizo cream ndo tatizo kama huwa unatumia.
 
Ok bro vp na zile smoother zapatikana wapi zile za kuchaji zenye ubora achana na za kichinga? Nipo manyara mkuu
Brother Maduka Ya Dawa Nyingi Sana
Ile Sabuni Kiboko Hata Mba Fangasi
 
Back
Top Bottom