Hamjambo!?
Kuna kipindi kama miaka 2 nyuma nilikuwa nafatilia mijadala ya Dawa za vidonda vya tumbo.
Sikumbuki vizuri ila nishaona zaidi ya mara tatu kuna watu wanashauri dawa flani hivi ni za hospital zipo za aina tatu unakunywa pamoja zinaponesha kabisa
Sio Omeprazole wala Kit eligo
Nikisahau ku-bookmark ule uzi... Naombeni mwenye kujua hii combination ya dawa anisaidie
Regard