david magessa
Member
- Feb 4, 2019
- 13
- 2
Uko wapi?!??Habari zenu wanajamii wenzangu
Nilikuwa naomba masaada wa dawa ya kuumwa kichwa kwa mda mrefu kwa maana Niko nasumbriwa na tatizo hilo kwa mda wa mwez mmoja na cjui nn tatizo dawa nimetumia sana
Mwenye msaada naomba mnisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana haujaanza kuumwa. Unapoulizwa jaribu kujibu vizuri, we unadhani banana ziko ngapi dunia hii?!?!
Niko banana gongo LA mbotoInaonekana haujaanza kuumwa. Unapoulizwa jaribu kujibu vizuri, we unadhani banana ziko ngapi dunia hii?!?!
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
OK. Uko mbali, but tafuta mtu anayetokea Bukoba muulize kwa Dar ni wapi unaweza pata dawa inaitwa OMUKIKIMBO, dawa hii unaweka kwenye pua (kama wanavyoweka ugoro) unapiga chafya za kutosha (be care ni kaliii saaana inabidi uweke kidogo saana na unaongeza mdogomdogo)
Kuongezea hapo.Kinaumaje?
Mfano chote au upande mmoja, je zaidi kinauma muda wote au jioni tu ?
N.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mm mda wote kinauma tena kinagonga vibaya
Matumizi yake inakuajeTatizo la hivyo lilinikuta mwaka 2010 na rimao ndiyo ilikuwa tiba yangu
MAGA 2020
Kinauma mda wote ila jioni huwa kinazidi sanaKinaumaje?
Mfano chote au upande mmoja, je zaidi kinauma muda wote au jioni tu ?
N.k
Sent using Jamii Forums mobile app