Jamani na mimi ninaomba msaada, Kichwa kinaniuma kwenye mishipa hasa nikicheka mfululizo au nikiinama,nimeshaenda hosp kam nne GEMSA, NSK, ALMC na AICC kwa hapa arusha wakanipima hadi hormone ila wanadai hawaoni tatizo,kwa mwenye ufahamu zaidi anisaidie jaman,kuna wakati nashindwa kutimiza majukumu kama mama wa familia
Sent using
Jamii Forums mobile app