Msaada wa dawa yakuumwa kichwa mda mrefu.

Jamani na mimi ninaomba msaada, Kichwa kinaniuma kwenye mishipa hasa nikicheka mfululizo au nikiinama,nimeshaenda hosp kam nne GEMSA, NSK, ALMC na AICC kwa hapa arusha wakanipima hadi hormone ila wanadai hawaoni tatizo,kwa mwenye ufahamu zaidi anisaidie jaman,kuna wakati nashindwa kutimiza majukumu kama mama wa familia

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole!
Macho na presha umepima?

Inaweza kuwa ni side effects ya baadhi ya madawa hasa za pressure.

Vilevile pima fibroids
 
Back
Top Bottom