naomba kujibiwa swali langu nakupewa maelezo yaliyokamili,
Je kuna dawa yakumfanya mtu afike kileleni kwa haraka?
upungufu wa hormone za kike kunaeza msababisha mtu kutofika kileleni?
NOTE:
Mawazo yapo kwenye tendo,maandalizi niyakutosha,unafurahia tendo lakini kileleni hufiki, msasada plz