Wadau kwanza natanguliza shukrani kwa kuwa Naona jinsi michango ya hali na mali kama inavyoo onyesha
Naomba msaada kama kichwa cha Habari kinavyoo onyesha, ndugu wana jamvi kijana wangu anapokojoa hasimamishi uume kama ilivyo kwa watoto
Kijana wangu ana umri wa miaka sita
Nawashukuru wadau
Kwa kawaida inapaswaiwe hivyo hasa kila asubuhi anapoamka kwenda kukojoa. kama hauko hivyo una tatizo la nguvu za kiume.Duh kwahiyo wewe kila ukojoapo unadinda? Au kukojoa yale mambo ndo umemaanisha?
kwa kawaida inapaswaiwe hivyo hasa kila asubuhi anapoamka kwenda kukojoa. Kama hauko hivyo una tatizo la nguvu za kiume.
wangu ana 11 years, mama mtu ndo alianza kuona hali hiyo, akanitaarifu. nami baada ya kumchunguza nimegundua ni kweli, dogo mashine haisimamamia subuhi kama walivyo watoto wengine.Ana umri gani? Hiyo hali nimuda gani sasa tangu imuanze....
wangu ana 11 years, mama mtu ndo alianza kuona hali hiyo, akanitaarifu. nami baada ya kumchunguza nimegundua ni kweli, dogo mashine haisimamamia subuhi kama walivyo watoto wengine.