Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Do you think its that simple, i hav hope that one day he is going to have his tool functioning. I hav hpe.............If i were you i Could have Killed him! he is impotent.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do you think its that simple, i hav hope that one day he is going to have his tool functioning. I hav hpe.............If i were you i Could have Killed him! he is impotent.
Kwa kawaida inapaswaiwe hivyo hasa kila asubuhi anapoamka kwenda kukojoa. kama hauko hivyo una tatizo la nguvu za kiume.
wangu ana 11 years, mama mtu ndo alianza kuona hali hiyo, akanitaarifu. nami baada ya kumchunguza nimegundua ni kweli, dogo mashine haisimamamia subuhi kama walivyo watoto wengine.
Wadau kwanza natanguliza shukrani kwa kuwa Naona jinsi michango ya hali na mali kama inavyoo onyesha
Naomba msaada kama kichwa cha Habari kinavyoo onyesha, ndugu wana jamvi kijana wangu anapokojoa hasimamishi uume kama ilivyo kwa watoto
Kijana wangu ana umri wa miaka sita
Nawashukuru wadau
simply huwa anaitwa H.A.N.I.T.H.I

Ndugu njia sahihi ni kwenda hospital watamfanyia test kuona kama ana dindisha ama laah kama ni jambo la kudumu ama linatibika. Japo unaweza kufanya uchunguzi lakini kama umeshatia shaka nahisi kuna tatizo ni vyema ufike hospitali.
Wadau kwanza natanguliza shukrani kwa kuwa Naona jinsi michango ya hali na mali kama inavyoo onyesha
Naomba msaada kama kichwa cha Habari kinavyoo onyesha, ndugu wana jamvi kijana wangu anapokojoa hasimamishi uume kama ilivyo kwa watoto
Kijana wangu ana umri wa miaka sita
Nawashukuru wadau
simply huwa anaitwa H.A.N.I.T.H.I
Daah!! Una ujasiri gani wa kuongea hivyo aixee angalia mkuu maneno huumba.If i were you i Could have Killed him! he is impotent.