Msaada wa dharura, mtoto wa kiume kutosimamisha uume

Kwa kawaida inapaswaiwe hivyo hasa kila asubuhi anapoamka kwenda kukojoa. kama hauko hivyo una tatizo la nguvu za kiume.

Angeiweka hivyo tungemwelewa....

Ampeleke kwa Dr. Mwaka au Gwajima....
 
wangu ana 11 years, mama mtu ndo alianza kuona hali hiyo, akanitaarifu. nami baada ya kumchunguza nimegundua ni kweli, dogo mashine haisimamamia subuhi kama walivyo watoto wengine.

Mkuu mwahishe kwa Dr. Mwaka au Gwajima...

Kama ni muumini wa mambo ya Giza kama Mimi ni PM nikupe msaada....
 
Itasimameje wkt anakojoa? Mkojo hautatoka
Kipimo ni kumwangalia asubuhi wkt ametoka kuamka
 
Ndugu njia sahihi ni kwenda hospital watamfanyia test kuona kama ana dindisha ama laah kama ni jambo la kudumu ama linatibika. Japo unaweza kufanya uchunguzi lakini kama umeshatia shaka nahisi kuna tatizo ni vyema ufike hospitali.
 
Akikojoa mkojo unakatika? Kama ndivyo he is fine...
Halafu watoto wakikojoa hawasimamishi. Au niseme sio lazima
 
wangu ana 11 years, mama mtu ndo alianza kuona hali hiyo, akanitaarifu. nami baada ya kumchunguza nimegundua ni kweli, dogo mashine haisimamamia subuhi kama walivyo watoto wengine.

So ikawaje ndugu nimsaidie kijana wangu
 
Jamani wandungu naombeni msaada wapi, Dr wakumcheki, nikimtizama machozi yanitoka
 
Itakua kitovu kiliangukia mashine huyo inabidi alale na ***** mzazi ndo atapona.
 
Ndugu njia sahihi ni kwenda hospital watamfanyia test kuona kama ana dindisha ama laah kama ni jambo la kudumu ama linatibika. Japo unaweza kufanya uchunguzi lakini kama umeshatia shaka nahisi kuna tatizo ni vyema ufike hospitali.

Akhsante ndugu kwa mchango wako
 
Nawashukuru walo kwisha changia na bado nahitaji mchango zaidi

Mbarikiwe kwa kusoma na kutoa wazo lako
Hivi hili la kulala na mama yake mzazi linafanya kazi wanajamvi
 
Hana tatizo huyo tatizo ni wewe na tabia ya kudidisha ovyo ovyo hata ukiona sehemu aliyokojolea mwanamke.
 
Hana tatizo huyo mkuu, tatizo lipo kwenye akili yako na mawazo yako. Msubirie abaleghe huo ndio wakati mwafaka kumuangalia mtoto kama yupo sawa au laaah. Mtoto wa kike unamchumnguzaje kama mzima au sio mzima? Si unasubiri muda unasema wenyewe, hata mtoto wa kiume ni hivyohvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…