Eti Thermostat haina umuhimu kwahyo waliyoiweka ni maboya au [emoji28]Hajapima kitaalamu,(wala hana vifaa hivyo vya kupimia).- katumia uzoefu tu. Kwa maelezo yake anadai amecheki kwingine anaona pako vizuri ila shida iko kwenye hiyo thermostat, na sio kwamba anaibadilisha bali anaitoa kabisa isiwepo maana anadai hizi thermostat hazina umuhimu kwenye gari maeneo ya joto , ndio maana zinaleta shida ya kuongeza joto kwenye injini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani mtu anamwa kichwa badala ya kumpa panadol unamng'oa mishipa ya fahamu asisikie maumivu
Laiti sasa ningempata mtaalamu akaniambia ni kwanini kifaa hicho kipo na huwa kina kazi gani, na kinapoondolewa kinaweza kuleta madhara gani.Eti Thermostat haina umuhimu kwahyo waliyoiweka ni maboya au [emoji28]