Msaada wa dharura (swali)

Msaada wa dharura (swali)

Yani mtu anamwa kichwa badala ya kumpa panadol unamng'oa mishipa ya fahamu asisikie maumivu
 
Hajapima kitaalamu,(wala hana vifaa hivyo vya kupimia).- katumia uzoefu tu. Kwa maelezo yake anadai amecheki kwingine anaona pako vizuri ila shida iko kwenye hiyo thermostat, na sio kwamba anaibadilisha bali anaitoa kabisa isiwepo maana anadai hizi thermostat hazina umuhimu kwenye gari maeneo ya joto , ndio maana zinaleta shida ya kuongeza joto kwenye injini.
Eti Thermostat haina umuhimu kwahyo waliyoiweka ni maboya au [emoji28]
 
Eti Thermostat haina umuhimu kwahyo waliyoiweka ni maboya au [emoji28]
Laiti sasa ningempata mtaalamu akaniambia ni kwanini kifaa hicho kipo na huwa kina kazi gani, na kinapoondolewa kinaweza kuleta madhara gani.

Unajua hata katika mwili wa mtu kuna baadhi ya viungo huondolewa kwa ustawi wa mtu huyo. Kwa mfano; govi kwa mwanaume, kucha, nywele , etc

Sent from my device using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom