Msaada wa dharura unahitajika

Msaada wa dharura unahitajika

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Habari wana ndugu.mimi ninaipenda sana jf ila ninasumbuka sana kujisajili.naomba mnisaidie tafadhali kwani nikishasajili jina then nikitoka na nikijaribu kuingia inakataa nifanyeje?
 
Tatizo langu liko wapi kujisajila jf?
 
Karibu sana. Subiri wataalamu watakuja muda si mrefu.
 
Karibu sana ila mbona tayari uko sana .
 
Back
Top Bottom