Nina ndugu yangu ana HIV, amejaribu kuanzishiwa hizi dawa za kuvubaza lakini zote zimemkataa, anavimba mwili na nnyingine inamtoa mapunye baadaye yanakuwa vidonda vikubwa na nyingine anakuwa kama kachanganyikiwa.
Sasa madaktari wake wa pale IDC karibu na Central Police ni kama wamemsusa, sasa nauliza hatuwezi kupata dr mwingine atusaidie?
0715 240249 kwa msaada.