Msaada, wa dokta unahitajika haraka

Msaada, wa dokta unahitajika haraka

Mike 1234

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
1,633
Reaction score
155
Nina ndugu yangu ana HIV, amejaribu kuanzishiwa hizi dawa za kuvubaza lakini zote zimemkataa, anavimba mwili na nnyingine inamtoa mapunye baadaye yanakuwa vidonda vikubwa na nyingine anakuwa kama kachanganyikiwa.

Sasa madaktari wake wa pale IDC karibu na Central Police ni kama wamemsusa, sasa nauliza hatuwezi kupata dr mwingine atusaidie?

0715 240249 kwa msaada.
 
Umeshawahi kuhudhuria vituo vinavyohudumia watu waishio na VVU? Kama hapana ninakushauri nenda PASADA Chang'ombe Kanisa Katoliki kule Temeke jirani na kituo cha Polisi Mkoa wa Temeke. Watampima na kujua dawa inayomfaa. Pia Hindu Mandal kuna Dr. Kaushik mtafuteni atawasaidia. Poleni sana.
 
Back
Top Bottom