Saidyahyasultan Member Joined Dec 2, 2012 Posts 67 Reaction score 21 Oct 11, 2014 #1 Jaman naomba msaada wa chuo cha kuendela na masomo ya conputer application. Au kama kuna ushaur wowote wa ishu naomb mnisaidie.
Jaman naomba msaada wa chuo cha kuendela na masomo ya conputer application. Au kama kuna ushaur wowote wa ishu naomb mnisaidie.
Mozya King Member Joined Sep 27, 2014 Posts 60 Reaction score 4 Oct 11, 2014 #2 Saidyahyasultan said: Jaman naomba msaada wa chuo cha kuendela na masomo ya conputer application. Au kama kuna ushaur wowote wa ishu naomb mnisaidie. Click to expand... Mkuu vyuo vpo vng ila haujafunguka vizur kwamba ni diploma au degree
Saidyahyasultan said: Jaman naomba msaada wa chuo cha kuendela na masomo ya conputer application. Au kama kuna ushaur wowote wa ishu naomb mnisaidie. Click to expand... Mkuu vyuo vpo vng ila haujafunguka vizur kwamba ni diploma au degree
Saidyahyasultan Member Joined Dec 2, 2012 Posts 67 Reaction score 21 Oct 12, 2014 Thread starter #3 Nimemaliz ngazi ya cheti. Na naitaji kweny ngazi y diploma. Ila najiuliz kitu kimoja hiv nikichukua hiy diploma nitapata ajiea? Isiwe nimepotez pesa yang bure.
Nimemaliz ngazi ya cheti. Na naitaji kweny ngazi y diploma. Ila najiuliz kitu kimoja hiv nikichukua hiy diploma nitapata ajiea? Isiwe nimepotez pesa yang bure.
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,636 Reaction score 6,178 Oct 12, 2014 #4 Hebu kuwa specific,unataka msaada ukasome diploma au unataka kujua kama ukimaliza diploma utapata ajira? Ajira kwa hiyo elimu yako sio uhakika,itategemea na bahati yako,competence yako n.k,,
Hebu kuwa specific,unataka msaada ukasome diploma au unataka kujua kama ukimaliza diploma utapata ajira? Ajira kwa hiyo elimu yako sio uhakika,itategemea na bahati yako,competence yako n.k,,
Saidyahyasultan Member Joined Dec 2, 2012 Posts 67 Reaction score 21 Oct 14, 2014 Thread starter #5 Poa ze heby
kiye Senior Member Joined Apr 28, 2012 Posts 117 Reaction score 25 Oct 14, 2014 #6 Du, BRN!!! Certificate mieez mitatu unataka ujiunge na digrii? Div 5