Msaada wa elimu

Msaada wa elimu

Joined
Dec 2, 2012
Posts
67
Reaction score
21
Jaman naomba msaada wa chuo cha kuendela na masomo ya conputer application. Au kama kuna ushaur wowote wa ishu naomb mnisaidie.
 
Nimemaliz ngazi ya cheti. Na naitaji kweny ngazi y diploma.
Ila najiuliz kitu kimoja hiv nikichukua hiy diploma nitapata ajiea?
Isiwe nimepotez pesa yang bure.
 
Hebu kuwa specific,unataka msaada ukasome diploma au unataka kujua kama ukimaliza diploma utapata ajira?

Ajira kwa hiyo elimu yako sio uhakika,itategemea na bahati yako,competence yako n.k,,
 
Back
Top Bottom