Msaada wa english course

preciouse

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
46
Reaction score
12
Habari wana JF, kwenye kampuni wetu tunadili na watu wa nchi nyingi tofauti tofauti lugha kubwa inayotumika ni kiingereza, nagombana na bosi kila siku kuhusu uongeaji wangu anadai sieleweki tatizo hata sauti yangu ni ya puani na hua kama nabana maneno hata ninapoongea kiswahili.

natafuta sehemu ntakayoweza kujifunza ili kuongeza uwezo na ujasiri wa kuongea kiingereza.

Asanteni.
 
Ni lazima iwe sehemu maalum au hata mtu binafsi? Umejiaandaaje kwa malipo? Naweza kukufua na ukaongea vyema. Wasiliana name kwa 0713 111171
 
Kwenye mtandao kuna sehemu unaweza kukifua kiingereza chako. Nilikuwa napaste anwani ya kwenye youtube na englishbus.net lakini imeshindikana...inawezekana ndani ya JF kunakatazo.
Kwa hiyo, fungua you tube na kisha andika 'learn English speaking' utaletewa kurasa mbalimbali.
Unaweza kubadilishabadilisha mada hiyo na utajikuta umepata mengi ya kujifunza.
ALL THE BEST
 
nenda kwa ras simba magomeni,usipojua kuongea na kuandika kiufasaha kimataifa anakurudishia hela yako.ada 250000 kwa 3 months na utakuwa moto wa kuotea mbali.
 
nenda kwa ras simba magomeni,usipojua kuongea na kuandika kiufasaha kimataifa anakurudishia hela yako.ada 250000 kwa 3 months na utakuwa moto wa kuotea mbali.

Poa ntaenda huko maana nimejaribu kucheki British council ada yao ndefu sana halafu ni kwa wiki 10 tu. Asante.
 

Ntafanya na hii pia ili ni improve mapema zaidi. Thank you so much.
 
Ni lazima iwe sehemu maalum au hata mtu binafsi? Umejiaandaaje kwa malipo? Naweza kukufua na ukaongea vyema. Wasiliana name kwa 0713 111171

Nadhani nikienda kwny kituo itakua nzuri zaidi maana ntakua na wenzangu hivyo ntaimprove mapema kwa kufanya conversation na watu mbalimbali.
 

kwa uelewa wangu kiingereza cha kuongea huwa akifundishwi.. Cha muhimu ni we kujichanganya na watu wanaokiongea full time and within 2 weeks utaadapt vingnevyo hizo kozi zinakaririsha tu..
Mfano fanya kama mie.. Kaombe kazi kwene maprivate schools... Ambapo kiswahili au lugha nyingne wanaiita vernacula na ni marufuku.. Give it 1 week na utakua kama wa school bus

ni ushauri tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…