Habari wana JF, kwenye kampuni wetu tunadili na watu wa nchi nyingi tofauti tofauti lugha kubwa inayotumika ni kiingereza, nagombana na bosi kila siku kuhusu uongeaji wangu anadai sieleweki tatizo hata sauti yangu ni ya puani na hua kama nabana maneno hata ninapoongea kiswahili.
natafuta sehemu ntakayoweza kujifunza ili kuongeza uwezo na ujasiri wa kuongea kiingereza.
Asanteni.
natafuta sehemu ntakayoweza kujifunza ili kuongeza uwezo na ujasiri wa kuongea kiingereza.
Asanteni.