Mohamedmteleke
Senior Member
- Mar 21, 2019
- 137
- 172
Naombeni msaada.....nasoma chuo X hapa tz , Ni finalist na nnatakiwa kufanya final year project ili niwe awarded degree ya computer science....
Changamoto ipo hivi , tulipebdekeza project title nyingi Sana na baadae moja ikapita,
Title ilikuwa chronic desease management information systems (CDMIS).
Lengo Ni ku keep record za Hawa watu, na system ilipangwa kuwa na 5 users dactari,system administrator, madijala, pharmacist,na mgonjwa mwenyew.... Tulipanga kuintergrate na sms ili mgonjwa awe anapata sms za kumjumbusha mda wa kunywa sawa, kuhudhulia clinic na kubeba dawa na kadhalika , mgonjwa atakuwa na ID namba itayomtambulisha popote , na akienda hospital atataja namba na atapata huduma, baada ya kuhudumiwa dactar ataongeza taarifa za mgonjwa na atasevu tareh na Nini kamhudumia kwa siku hiyo, na Kama mgonjwa ataenda kutibiwa na hospital nyingine atataja namba tu na dactar anaweza Ina taarifa za mgonjwa na background ya kimatibabu,
System administrator anasajili madactar na wahudumu wengine katika system, dactar Ni mtu wa huduma tu na kuongeza vitu ambavo mgonjwa kahudumiwa katika siku husika, madijala anasajili wagonjwa , pharmacist Ni mtu wa madawa na anagawa dawa kutokana na maagizo ya dactar,
Gap...
Kuna GOTHOMIS ambayo inaoperate in a local area na single hospital na Ni too general sis tumespecify...huko mgonjwa atasajili upya Kila hospital...
Katika mfumo wetu tunaangazia kuwa na shared database katika hospital zote , means that the system is distributed although it doesn't have all characteristics....system hii tulitoa maelezo mengi Zaid ya haya katika ku defend title na ikapita....then tukapewa supervisor wetu kwaajili ya kutuongoza
Supervisor akasema haielew title hivo tutafte title nyingine...alipoulizwa how will you make your system distributed tulimjibu kwamba cloud computing Ina service tatu ambazo Ni infrastructure as a service,platform as a service na software as a service.,..sis tutahost system yetu katika cloud severs Kama digital ocean na nyinginezo kwa ajili ya presentation na demonstration...na kwakuwa huko Kuna network of servers our system will be distributed...ticha kaikataa kasema totengeneze distributed system kwa gharama zetu wenyew ,na tuwe na server Zaid ya moja na to show how data are synchronized, kwa gharama za hii idea yake sisi hatuwez Ni Bora wabaki tu na degree yangu, tukamuuliza tufanyaje ili iwe unavotaka ,na tupite njia zipi kasema hajui hata yeye,....ukumbuke supervisor Ni mtu wa kutuelekeza na sio kukomoa Kwan nae anacredit tukifanikiwa hapa, ...akasema kuwa distributed kwa kuihost tu cloud hautoshi kutupa degree hivo tutafte complex system Zaid ya hii...kasema ni very simple ila hajui tumeumizwa kichwa kias gan mbaka imekuwa nyepes hivi kwa maelezo,...ko katukataa na tukiomba kubadilishiwa supervisor ttaonekana niyeyusho na ttakuwa tmejipalia Moto ,Kila title tunayompelekea anakataa na Sasa tunakaribia proposal presentation ili tupate go ahead ya kufanya project....akili umechoka Sana na Sina title nyingine....
Huenda ticha Hana lengo baya ila nimekwama hapo wakuu...yeyote mwenye idea msaada mwenye title kali ya system anisaidie namba yangu Ni....naombeni msaada wa hii kitu wanajamvi degree naikosa na nmepambana Sana had hapa....wahadha salaa