Mohamedmteleke
Senior Member
- Mar 21, 2019
- 137
- 172
- Thread starter
- #41
Don't worrySorry for good nimber of typos.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Don't worrySorry for good nimber of typos.
Shida cost mzee....kuanza kununua vifaa tiba kwaajili ya demonstration tu , muda uliopo, na Target kwa sasaKama wanavyosema kuwa kila mtu anataka kumtengeneza hizo Patient Information Management Sytems.....
Lakini hizi kwa sasa ni zinakuwa phased out huko kwenye nchi zilizo endelea sababu ni manual standalone systems....kwamba Daktari au Nesi anachukua vipimo, halafu anaingiza kwenye systems manually...
Tengeneza project za kuwezesha automated patients information system..
Mfano mtu anachukuliwa vipimo au mgonjwa ana kuwa kwenye 24hrs monitoring wodini na vifaa tiba ambavyo vinapeleka data moja kwa moja kwenye huo mfumo wa Patient infomation system...hii ni kwa kutengeneza kitu kinaitwa HL7 Intergation Engine...ambayo inakuwa na uwezo kutoa data kwenye vifaa tiba tofauti ambavyo vina HL7 inteface....
Na huo mfumo wa Patient Infomation Management unakuwa na uwezo wa kutuma taarifa za mgonjwa kwenda kwenye vifaa tiba na kuwezesha uhakiki taarifa sahihi za mgonjwa kama ID number au dozi ya dawa...
Au tengenza PACS system( Picture Archiving and Communication System) mtu ana chukuliwa X Ray, CT au Ultrasound, halafu hizo picha za mfumo wa (DICOM image) zinakuwa zinaenda kwenye huo mfumo wa Patient Information System automatically .....
Vifaa tiba vyote vya kisasa hata kutoka China , vinafuata mfumo wa kanuni za HL7(Health Level 7 OSI model) au DICOM (Digital Imaginging and Communication in Medicine) ambazo zina unawezo wa mawasiliano na hizi Patient Information System.
Mimi sio mtaalamu wa IT, kama unaelewa ninachosema, hiyo project unaweza hata kuipeleka mahospitalini na ikafanikiwa....
Unaweza kuiita hiyo Project yako Electronic Health Records EHR au Electronic Patient Records EPR, haya ndio majina ya hizi systems zinavyojulikana huko zilikotoka....na ikiwa na mafanikio ya kutumika mahospitalini hapo unaweza hata kuiita jina lako mwenyewe....
Kwani huwezi kwenda hospitali kubwa za mkoa au kama upo Dar, Muhimbili au Mlongazila, kwenye idara ya matengenezo ya vifaa tiba au IT na kuomba kutumia vifaa tiba vyao kujaribu project yako...you will only need standard Patient Monitor for HL7 integration testing ...Shida cost mzee....kuanza kununua vifaa tiba kwaajili ya demonstration tu , muda uliopo, na Target kwa sasa
Kuna muda degree zinachosha sana hata mm wakat wa research nilitamani hata sijui nifanyajeNaombeni msaada.....nasoma chuo X hapa tz , Ni finalist na nnatakiwa kufanya final year project ili niwe awarded degree ya computer science....
Changamoto ipo hivi , tulipebdekeza project title nyingi Sana na baadae moja ikapita,
Title ilikuwa chronic desease management information systems (CDMIS).
Lengo Ni ku keep record za Hawa watu, na system ilipangwa kuwa na 5 users dactari,system administrator, madijala, pharmacist,na mgonjwa mwenyew.... Tulipanga kuintergrate na sms ili mgonjwa awe anapata sms za kumjumbusha mda wa kunywa sawa, kuhudhulia clinic na kubeba dawa na kadhalika , mgonjwa atakuwa na ID namba itayomtambulisha popote , na akienda hospital atataja namba na atapata huduma, baada ya kuhudumiwa dactar ataongeza taarifa za mgonjwa na atasevu tareh na Nini kamhudumia kwa siku hiyo, na Kama mgonjwa ataenda kutibiwa na hospital nyingine atataja namba tu na dactar anaweza Ina taarifa za mgonjwa na background ya kimatibabu,
System administrator anasajili madactar na wahudumu wengine katika system, dactar Ni mtu wa huduma tu na kuongeza vitu ambavo mgonjwa kahudumiwa katika siku husika, madijala anasajili wagonjwa , pharmacist Ni mtu wa madawa na anagawa dawa kutokana na maagizo ya dactar,
Gap...
Kuna GOTHOMIS ambayo inaoperate in a local area na single hospital na Ni too general sis tumespecify...huko mgonjwa atasajili upya Kila hospital...
Katika mfumo wetu tunaangazia kuwa na shared database katika hospital zote , means that the system is distributed although it doesn't have all characteristics....system hii tulitoa maelezo mengi Zaid ya haya katika ku defend title na ikapita....then tukapewa supervisor wetu kwaajili ya kutuongoza
Supervisor akasema haielew title hivo tutafte title nyingine...alipoulizwa how will you make your system distributed tulimjibu kwamba cloud computing Ina service tatu ambazo Ni infrastructure as a service,platform as a service na software as a service.,..sis tutahost system yetu katika cloud severs Kama digital ocean na nyinginezo kwa ajili ya presentation na demonstration...na kwakuwa huko Kuna network of servers our system will be distributed...ticha kaikataa kasema totengeneze distributed system kwa gharama zetu wenyew ,na tuwe na server Zaid ya moja na to show how data are synchronized, kwa gharama za hii idea yake sisi hatuwez Ni Bora wabaki tu na degree yangu, tukamuuliza tufanyaje ili iwe unavotaka ,na tupite njia zipi kasema hajui hata yeye,....ukumbuke supervisor Ni mtu wa kutuelekeza na sio kukomoa Kwan nae anacredit tukifanikiwa hapa, ...akasema kuwa distributed kwa kuihost tu cloud hautoshi kutupa degree hivo tutafte complex system Zaid ya hii...kasema ni very simple ila hajui tumeumizwa kichwa kias gan mbaka imekuwa nyepes hivi kwa maelezo,...ko katukataa na tukiomba kubadilishiwa supervisor ttaonekana niyeyusho na ttakuwa tmejipalia Moto ,Kila title tunayompelekea anakataa na Sasa tunakaribia proposal presentation ili tupate go ahead ya kufanya project....akili umechoka Sana na Sina title nyingine....
Huenda ticha Hana lengo baya ila nimekwama hapo wakuu...yeyote mwenye idea msaada mwenye title kali ya system anisaidie namba yangu Ni....naombeni msaada wa hii kitu wanajamvi degree naikosa na nmepambana Sana had hapa....wahadha salaa
😬😬Kuna muda degree zinachosha sana hata mm wakat wa research nilitamani hata sijui nifanyaje
Inashangaza sana kuona computer engineer anatengeneza mfumo wa library!!Nilipokuwa chuo X hapo. Wanafunzi wenzangu wengi walikuwa katika njia moja kama hii uliyochukua. Kulikuwa na system mbili nadhani za kusimamia taarifa za daktari na mgonjwa nakumbuka, kulikuwa na system za kufanya management za wanafunzi mashuleni, na kiujumla kulikuwa na management systems everywhere.
Katika kutafuta Final Year Projects binafsi haikuwa ngumu kabisa. Kwanza nilitazama vitu ninavyopenda,
1. ninapenda technology
2. ninapenda design na animation
3. ninapenda project zinazolenga watoto.
Nilianzia hapo, nikaangalia mambo yanayonizunguka katika maeneo yanayonivutia na nikaona tatizo kubwa sana katika elimu ya watoto, hasa primary. Tulianza kufanya research mwanzoni za matatizo na niliona shocking statistics za wanafunzi wa primary. Almost 50% wanafeli, almost 40% madarasa ya chini (la 4, 5, 6, 7) hawawezi kufanya hesabu za darasa la pili au kusoma hadithi za darasa la pili. Na nilikua genuinly shocked na some of the statistics na nikajua moja kwa moja nitajikita huko.
Baada ya kufikiria kidogo niliona tatizo ni kubwa na nikajikita katika somo la hisabati kwa kuanzia. Na nikaamua kufanya simple math games kwa watoto. Wanafunzi wenzangu kama nilivyokwambia, management systems zilikua nyingi sana, na nilipata hofu kidogo kama hili wazo lingekubalika ila long story short nilipewa tuzo ya project bora ya pili chuoni hapo na prototype ilifanikiwa kuonekana sabasaba pia.
Mpaka leo sehemu ya hobby yangu ni kufanya project zinazolenga eneo hilo maana hakuna kabisa solution za kutosha.
Kwa hiyo nakushauri, angalia beyond just the project title, angalia beyond just having a system. Na hopefully kwa experience yangu hii labda kuna idea unaweza kupata. Good luck
We embu toa wazo lako sasaHivi kwanini degree za computer/IT project zao huwa ni kutengeneza systems? Mara system ya maktaba mara ya hospitali hivi hamna tittle inayo tatua matatizo ya wananchi?
Nnasema hivi maana hata chuoni kwetu miaka hiyo kila mtu alikua anawaza kutengeneza system tena kwa kutumia PHP! Mbaya zaidi wanakopi systems zilizo tengenezwa miaka ya nyuma!
Mnakwama wapi nyie watu? Tofauti na hizo systems hamuwezi waza kitu kingine? Au nduo tuseme creativity=0?