dadi5
Senior Member
- Jun 24, 2015
- 104
- 218
Habarini za jioni wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis,gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni.
Gari ni ya 2010
Tatizo:
1.Inakosa nguvu
2.Inatoa mngurumo tofauti na kawaida
3. Misfire
Yaliyofanyika
1. Kubadilisha nozzle na chile
2. Kubadili control box iliyokuja na gari d2 na kuweka nyingine(used) u 5
Matokeo
Hakuna mabadiliko
Nawasilisha kwa msaada zaidi.
Nb: Nawasilisha faulty zilizoonekana kwenye diagnostic tool.