Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

kumbe shida ni mafundi hawajui kuzitengeneza. sio gari?
The thing with mafundi wa kibongo hawataki kujiongeza, hizi gari ni computerized, wao wameshazoea za kawaida. ukimpelekea gari la kisasa analikorokochoa au kuliharibu zaidi.

japo si mafundi wote. wapo wanaojua jinsi ya kudeal na magari ya kisasa.
Ndio ninaowatafuta mkuu
 
Habarini za jioni wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis kwani gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni. Gari ni ya 2010

TATIZO:
1.INAKOSA NGUVU
2.INATOA MNGURUMO TOFAUTI NA KAWAIDA
3. MISFIRE

YALIYOFANYIKA
1. Kubadilisha Nozzle na Chile
2. Kubadili control Box iliyokuja na gari D2 na kuweka nyingine(Used) U 5

MATOKEO
HAKUNA MABADILIKO

NAWASILISHA KWA MSAADA ZAIDI

NB: NAWASILISHA FAULTY ZILIZOONEKANA KWENYE DIAGNOSTIC TOOLView attachment 1865066View attachment 1865067

Boss una nissan unapeleka gari garage za chini ya mti? Utabadilisha kila kitu ukimfuata fundi asiemzoefu kumbe ni ishu ndogo sana..nenda kwa dealer wa nissan..
 
Boss una nissan unapeleka gari garage za chini ya mti? Utabadilisha kila kitu ukimfuata fundi asiemzoefu kumbe ni ishu ndogo sana..nenda kwa dealer wa nissan..
Nashukuru sana kwa ushauri
 
Habarini za jioni wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis kwani gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni. Gari ni ya 2010

TATIZO:
1.INAKOSA NGUVU
2.INATOA MNGURUMO TOFAUTI NA KAWAIDA
3. MISFIRE

YALIYOFANYIKA
1. Kubadilisha Nozzle na Chile
2. Kubadili control Box iliyokuja na gari D2 na kuweka nyingine(Used) U 5

MATOKEO
HAKUNA MABADILIKO

NAWASILISHA KWA MSAADA ZAIDI

NB: NAWASILISHA FAULTY ZILIZOONEKANA KWENYE DIAGNOSTIC TOOLView attachment 1865066View attachment 1865067
haya haya hayaaaaaaa....kumekucha
 
Gari ndogo za Nissan, VW, Audi, Pajero, Volvo, ni Kero Tanzania. Epukana Nazo. Vipuri ni shida,ni ghali, mafundi hawayajui Namna ya kuyatengeneza.
Sasa hapo tatizo ni hayo magari au tatizo ni jamii kukosa mafundi wac hizo gari.
 
Kuna maswali naomba nikuulize mkuu.

1 . Gari ulipoichukua/kununua ilikuwa na total milage ngapi?!
2. Una history ya gear box hydraulic service?! Kama ndio ni aina gani ilitumika na wewe unatumia ipi?!
3. Gari yako unatumia mwenyewe au kuna mtu mwingine huwa anaigusa.

4. Gari una muda gani nayo mikononi mwako, na je servicing huwa unafanya kwa wakati au hadi check engine light iwake?!
 
zimepakiwa nyingi tuu mjini zimepungua sanaa tuliwambia
Ni ishara kuwa wanaoziendesha ni watu careless. Kama watu hawawezi kusimamia mahusiano yao na wapenzi wao au biashara siwezi kushangaa wakishindwana na hii gari.

Dualis inataka watu makini wanaofuatilia afya ya gari 24/7.

Hii gari zipo ambazo nimeanza kuziona tokea mwaka 2010 na hadi leo zipo barabarani zina afya nzuri tu. Hakunaga gari mbovu ila kuna madereva wasio makini
 
Zimepakiwa kwa sababu gani mkuu?
Story za kuambiwa hizi. Hizi gari sasa kwa idadi zinaanza kufikia RaV4 au Harrier. Zinanunuliwa sana shida ipo kwa wazee wa kujivuta kufanya service. Mtu anataka gari ichomoke tairi ndipo apeleke service.

Gari za kampuni kama Nissan, benzi, BMW, etc utaweza shangaa unapaki sababu unavyozidi kuchelewa kuipa huduma na yenyewe inaongezeka matatizo ukienda gereji unakutana na list ya matatizo na yanataka spare replacements ambazo ni gharama kuzimudu kwa wakati mmoja .
 
Back
Top Bottom