JituMirabaMinneHabarini za jioni wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis kwani gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni. Gari ni ya 2010
TATIZO:
1.INAKOSA NGUVU
2.INATOA MNGURUMO TOFAUTI NA KAWAIDA
3. MISFIRE
YALIYOFANYIKA
1. Kubadilisha Nozzle na Chile
2. Kubadili control Box iliyokuja na gari D2 na kuweka nyingine(Used) U 5
MATOKEO
HAKUNA MABADILIKO
NAWASILISHA KWA MSAADA ZAIDI
NB: NAWASILISHA FAULTY ZILIZOONEKANA KWENYE DIAGNOSTIC TOOLView attachment 1865066View attachment 1865067
Yamekukuta, hizo gari ni Kero.Habarini za jioni wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis kwani gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni. Gari ni ya 2010
TATIZO:
1.INAKOSA NGUVU
2.INATOA MNGURUMO TOFAUTI NA KAWAIDA
3. MISFIRE
YALIYOFANYIKA
1. Kubadilisha Nozzle na Chile
2. Kubadili control Box iliyokuja na gari D2 na kuweka nyingine(Used) U 5
MATOKEO
HAKUNA MABADILIKO
NAWASILISHA KWA MSAADA ZAIDI
NB: NAWASILISHA FAULTY ZILIZOONEKANA KWENYE DIAGNOSTIC TOOLView attachment 1865066View attachment 1865067
Habarini za jioni wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis kwani gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni. Gari ni ya 2010
TATIZO:
1.INAKOSA NGUVU
2.INATOA MNGURUMO TOFAUTI NA KAWAIDA
3. MISFIRE
YALIYOFANYIKA
1. Kubadilisha Nozzle na Chile
2. Kubadili control Box iliyokuja na gari D2 na kuweka nyingine(Used) U 5
MATOKEO
HAKUNA MABADILIKO
NAWASILISHA KWA MSAADA ZAIDI
NB: NAWASILISHA FAULTY ZILIZOONEKANA KWENYE DIAGNOSTIC TOOLView attachment 1865066View attachment 1865067
Mleta mada pata mungozo...Boss labda utupe history ya tatizo lako. How come gari ikatrigger code kwa hayo matatizo yote.
P0304 ni cylinder namba 4 inamisi. Ni ngumu kusema moja kwa moja kuwa shida ni nini unless mpaka niwe na gari maana sababu zinaweza kuwa Coil, plug, nozzle, fuel pressure, air leak, poor compression, wiring ya nozzle au coil n.k.
p0141 ni Downstream oxygen sensor. Inafungwa baada ya catalytic converter. Au sensor 2 bank 1
p1122 ni electronic throtle.
p0123 na p0223 ni accelerator pedal sensor kwa gari ambazo zina electronic throttle. Ila ingekuwa gari ya kawaida ingekuwa ni TPS sensor
p0135 ni Upstream Oxygen sensor Bank 1. Au Sensor 1 Bank 1
p0350 inasababishwa na ignition coil. Probably ile misi ya cyl 4 inababishwa na coil.
Kwanza rudisha origina control box yake..Habarini za jioni wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis kwani gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni. Gari ni ya 2010
TATIZO:
1.INAKOSA NGUVU
2.INATOA MNGURUMO TOFAUTI NA KAWAIDA
3. MISFIRE
YALIYOFANYIKA
1. Kubadilisha Nozzle na Chile
2. Kubadili control Box iliyokuja na gari D2 na kuweka nyingine(Used) U 5
MATOKEO
HAKUNA MABADILIKO
NAWASILISHA KWA MSAADA ZAIDI
NB: NAWASILISHA FAULTY ZILIZOONEKANA KWENYE DIAGNOSTIC TOOLView attachment 1865066View attachment 1865067
Shule ziko wapi? VETA?Hivi kwa nini Tanzania watu hawaendi shule kusomea magari?
DIT,NIT na VETAShule ziko wapi? VETA?
I hope you are joking.
Aiseee ungejua....DIT,NIT na VETA
Zimepakiwa kwa sababu gani mkuu?zimepakiwa nyingi tuu mjini zimepungua sanaa tuliwambia
KHA! YAN ule Mkopo 18M tuliokupitishia hapa HR ndio ukaenda kununua NissanHabarini za jioni wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis kwani gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni. Gari ni ya 2010
TATIZO:
1.INAKOSA NGUVU
2.INATOA MNGURUMO TOFAUTI NA KAWAIDA
3. MISFIRE
YALIYOFANYIKA
1. Kubadilisha Nozzle na Chile
2. Kubadili control Box iliyokuja na gari D2 na kuweka nyingine(Used) U 5
MATOKEO
HAKUNA MABADILIKO
NAWASILISHA KWA MSAADA ZAIDI
NB: NAWASILISHA FAULTY ZILIZOONEKANA KWENYE DIAGNOSTIC TOOLView attachment 1865066View attachment 1865067
kumbe shida ni mafundi hawajui kuzitengeneza. sio gari?Gari ndogo za Nissan, VW, Audi, Pajero, Volvo, ni Kero Tanzania. Epukana Nazo. Vipuri ni shida,ni ghali, mafundi hawayajui Namna ya kuyatengeneza.
Msamehe,amepata mke wa piliKHA! YAN ule Mkopo 18M tuliokupitishia hapa HR ndio ukaenda kununua Nissan
Pumbafu kabisa hukuona Toyota wanaProduct nyingi ambazo zipo durable ununuwe!
mafundi hovyo spare ghalZimepakiwa kwa sababu gani mkuu?