Msaada wa fundi: Toyota Runx inabugia mafuta

Coil hata wewe unacheki tu, na zile nozzle inaezakuwa zimekufs zinatema mafuta
Okay, sijui vizuri..nadhani nicheck na fundi hasa kwenye nozzle, shida mafundi wengi wana piga trial and error, ndio maana natamani nipate fundi mzuri.
 
Nozzle za gari ya petrol huwa zinatumia umeme kurusha mafuta so fundi huwa wanaziwekajeje sijui kwenye betri zinamwaga mvuke wa mafuta, ukiona inamwaga mafuta maana imekufa hiyo, kucheki coil ni rahisi unawasha gari unakuwa unatoa coil moja moja kuna namna coil ukiitoa gari haibadili muungurumo, maana yake hiyo coil mbovu
 
Mkuu oil unayotumia ndo iko recomend na manufacture au fundi kakushauri hvyo?Unaweza kuta unaenda mbali sana kumbe tatizo liko hapa
Hili nalo jaribu kucheki kwa gari yako weka oil ya continental ama castro 5w30 thinthetic oil ina bei kidogo nafikiri nilf 25 ama 30 kwa lita
 
Huu ulaji kwa kweli ni Kama Jini au Joka
 
Okay, sijui vizuri..nadhani nicheck na fundi hasa kwenye nozzle, shida mafundi wengi wana piga trial and error, ndio maana natamani nipate fundi mzuri.
Ushapewa no fundi abdala pale juu nenda huko ilala ulete mrejesho.
Vinginevyo utapigwa humu
 
Jibu la utatuzi wa tatizo lako ni kabadilishe MAF sensor kama engine za kisasa na kama zile engine 5A na wenzie hebu kacheck valve ya injection
 
Kwa ulaji huu Kwamba Premio Second generation ya 1.8L (2ZR ENGINE) inaenda vizuri kuliko 1.5L Runx maana nikiwa town napata 14 per Litre na highway napata hadi 17 per litre ijapo haipungui 16 per Litre.
 
Engine ina kilometer ngapi?
 
Hili nalo jaribu kucheki kwa gari yako weka oil ya continental ama castro 5w30 thinthetic oil ina bei kidogo nafikiri nilf 25 ama 30 kwa lita
Hivi wanavyosemaga engine kizidi 150k km inabidi uweke 20w-50 hii imekaaje?
 
Mkuu oil unayotumia ndo iko recomend na manufacture au fundi kakushauri hvyo?Unaweza kuta unaenda mbali sana kumbe tatizo liko hapa
Niliambiwa na muuzaji kwa sababu imevuka km 150k nitumie 20w-60 badala ya 5W-30 synthetic then nkampelekea fundi aweke na akakubali.
 
Rudi kwenye oil yake mkuu tatizo litaisha anyway wenye utaalamu zaidi wakuje me langu likua na km za kutosha nkajichanganya kubadili kwa ushauri wa dukani asee gari ilikua nzito inabugia mafuta so poa ilibidi ni mwage oil tena
 
Duuuh, ilikua na km ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…