Msaada Wa Garage Nzuri Ya Subaru Dar

Acha siasa mkuu hawa wakina fundi juma temeke mwembeni ukiwapelekea BENZ si wanaiua
 
Hapana mkuu.kama kweli ni fundi hawezi sema mifumo ya gari ni ileile.hivi unataka kunambia fundi ukimpa afanyie ovarhall engine atachagua.
Acha siasa mkuu hawa wakina fundi juma temeke mwembeni ukiwapelekea BENZ si wanaiua
 
Chukua bmw afu kampe fundi aliyezoea toyota akusaidie kumwaga oil kutoka kwenye bimmer yako uone jasho litakavyomtoka.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Chukua bmw afu kampe fundi aliyezoea toyota akusaidie kumwaga oil kutoka kwenye bimmer yako uone jasho litakavyomtoka.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Hahahhaa sasa kumwaga oil kuna ufundi gani mkuu.uvivu wa sisi watanzania kuanzia mafundi mpaka wanao miliki magari ndio majangazi.

Kuna mda utakuja ona fundi anatafuta solution y
a ugonjwa kwenye forum mbali mbali anatoka na wazo analifanyia kazi hilo wazo aliyelitoa ni mtu ambaye sio fundi bali anamiliki tuu gari.

Unashundwaje boss umenunua gari ya milion 5 ukashindwa nunua bluetooth ya laki 1 na nusu ambayo itakusaidia kufanya diagnosis gari yako kupitia simu?.

Maana hata kama unamuliki gari 5 tofauti yaani nyingine toyota nyingine bmw subaru nissan mazda na benz unanunua tuu softwere online kwa bei ndogo tuu kama dora 35..

Tuache ubabaishaji
 
Kuna specialization mkuu. Daktari wa meno hawezi tibu tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna specialization mkuu. Daktari wa meno hawezi tibu tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo huyo daktari wa meno huwa anakuwa specialization kwa meno ya watu wa rika zote au wavijana vijana watoto watoto wazee wazee wanawake wanawake au..kwa mfano fundi aliye specializer kwenye rangi tuu ataweza kupiga rangi gari zote au kama ni toyota basi ni toyota tuu au ataweza kupiga na nissan subaru benzi bmw nk??.
 
Sikia. Magari yana manufacturer. Magari yana family na pia magali yana models. Pia kila model ina mifumo yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…