mzuluu
Member
- Sep 15, 2014
- 68
- 30
Yeah huyo jamaa yuko vizuri sana anaitwa Gody lakini sie wa chuga tunamuita Godii..haahaa.safi team Subaru mwenzangu..Mkuu nilishapata uvumbuzi wa tatizo.Nlienda Biafra K/Ndoni kuna garage inaitwa 0-60.Jamaa wako vizur na ndo mahali na fanya service gari.Hawabahatishi.
Sent using Jamii Forums mobile app