Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Nissan Teana shipa usiichukue hata ukipewa bure. Shock up 2 (900,000 TZS,)nimekuta mahala Nissan Teana. imenyooka tena chassis number inauzwa 10million.. nikasema mmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nissan Teana shipa usiichukue hata ukipewa bure. Shock up 2 (900,000 TZS,)nimekuta mahala Nissan Teana. imenyooka tena chassis number inauzwa 10million.. nikasema mmmh
Ila si nzuri au ina matatizo? swala la pesa lisikukoshe kitu kizuri mkuu, hela zinatafutwa.. swali ni chombo iliyotulia au chenga chengaNissan Teana ships usiichukue hata ukipewa bure. Shock up 2 (900,000 TZS,)
Na bado. Kama unaogopa kununua shockup pair kwa laki tisa kaa mbali sana na Nissan. Zione tu zikikuomba site na kutembea na kupotelea huko.Nissan Teana shipa usiichukue hata ukipewa bure. Shock up 2 (900,000 TZS,)
Chenga Kama PASSO tuIla si nzuri au ina matatizo? swala la pesa lisikukoshe kitu kizuri mkuu, hela zinatafutwa.. swali ni chombo iliyotulia au chenga chenga
aiseeNaungana na wewe mkuu,kiufupi hakuna gari mbovu
aisee
hii ni bs. ushawahi sikia neno 'lemon'?
Na wengi hawana Magari🤣🤣Hivi gari ndiyo pasua kichwa au vivywa vyetu ndiyo vimepasuka?
Gari unainunua nzima hujifunzi kujua gari inatataka kutunzwaje, unaendesha gari bila kuifahsmu vizuri, kukiwa na tatizo dogo badala la kuuliza mafundi waliobobea wa gari hizo, wee unauliza watu wa jamii forum. Btother, miongoni mwa wanaokushauri humu wanaishi kwa wazazi wao bado.
huna pesaSio kwa Teana, Cedric, Cefiro, Gloria na Fuga. Zote pasta kichwa.
Sedan ya Ndoto zangu. Nissan teana
View attachment 2142269
shipaMfano mzuri ni freelander 1st generation
vipi nissan maxima?Huku nilipo wanaziita Nissan Altima. Ni kichomi hizo gari.
Kuanzia gearbox yake ya cvt kufa haraka na pia engine kuchemsha ni jambo la kawaida
Maxima zipo Poa compare to Altimavipi nissan maxima?
maxima na fuga unachagua ipi?Maxima zipo Poa compare to Altima
Non of them. Sio Mpenzi wa sedan.maxima na fuga unachagua ipi?