Msaada wa gari yangu

mtuwewe

Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
47
Reaction score
25
Habari wana jf'
Naomba msaada kwa wenye uzoefu was magari ;Gari yangu ilikuwa inatokea puto mtu anaputo kwenye dashboard fund wangu aliniambia imekata mkanda wa hone;na ilikuwa kweli nimereplace mkanda lakini sitill bado puto linatokea nisaidiemi wadau !
 
mkuu kama ilikata mkanda na umebadili mkanda mwingine lazima ureset na diagnosis machine /uclear fault code. au fundi wako anaweza reset kwa njia ya manually. inategemeana nigari ya aina gani mkuu.

au kama hayo akiyafanya lkn bdo taa inawaka basi apime na mashine kujua tatizo ni nn au anaweza kupima hata manually pia na ikampa majibu.

kama upo dar unaweza nitafuta nikaja kukupimia 0717228064
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…