baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,580
- 1,773
Habar wakuu, Jana nimepata shida kwenye gari baada yakutoka kuosha niliiwasha vizuri nikaondoka nikapaki, Sasa baada yakupaki nawasha gari inawaka inakaa sailensa vizuri kabisa lakini lakini nikikanyaga mafuta hailesi iko sailensa tuu nakanyaga mguu wamafuta mpaka mwisho inaongeza kwambali sailensa lakin hailesi kabisa
Gari yangu ni Nissan xtrail, inatumia sensa kwenye mafuta haina waya kebo
Msaada tafadhali
View attachment 1696451
Gari yangu ni Nissan xtrail, inatumia sensa kwenye mafuta haina waya kebo
Msaada tafadhali
View attachment 1696451