Msaada wa gari yangu

Msaada wa gari yangu

Hakuna mtu atakaye kutengenezea gari jamii forum zaidi ya wewe kutafuta fundi aliye karibu nawe akutatulie tatizo

Kwa nyongeza Nisan xtrail ni gari zinazo aumbua wengi sana na wakati mwingine husumbua hata ikiwa mpya,wengi wao wameto baadhi ya spare nyingi na kufunga za Rav4 hasa Engine na gearbox
Tupo tunaoweza kumshauri kuhusu matengenezo hata kama hatutamtengenezea.
 
Ngoja nkuamnie kitu hapo shida ipo kwenye accelerator pedal au throttle body yako. Kama gari yako inatumia throttle body ya umeme, maana yake ipo accelerator pedal ya umeme, sasa kwakua umesema waliosha gari ndani basi inawezekana potential-meter ya accelerator pedal yako iliingiliwa maji hivo resistance readings za potential meter hazipo sawa na kishindwa kua interpreted na computer ya gari (ECU) check kama kuna check engine light kwenye dashboard yako. So kama ni hivo ni hivo safisha potential meter ya accelerator yako kwa recommend fluid au replace.
 
Au fuse ya ETC inaweza kua imeingua, so check ETC (electric throttle control) fuse.. hii fuse ikiungua pia inafanya throttle body isifanye kazi.. pia kama ikiungua ni vuzuri kujua why imeingua at first place.
 
Natafuta fundi was nissan extrail morogoro mjini gari yangu inawaka lakini hailes Mafuta
 
Wanasemaga throttle yake ni ya umeme sio waya! Gari za toyota nyingi ni waya unavuta ndio gari ina resi!

Nissan ni tofauti accelerator yake ina sensor ndio inafanya ifungue resi na kufunga! Kwa jina jingine wanaita ni ya umeme kwahio hapo ndipo penye tatizo bila shaka!
 
Nikiweka switch on inafungua mafuta nawasha inawaka lakini nikikanyaga mafuta inaongeza kwambali Sana mlio lakini hailes
 
Back
Top Bottom