Msaada wa gari yangu

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,580
Reaction score
1,773
Habar wakuu, Jana nimepata shida kwenye gari baada yakutoka kuosha niliiwasha vizuri nikaondoka nikapaki, Sasa baada yakupaki nawasha gari inawaka inakaa sailensa vizuri kabisa lakini lakini nikikanyaga mafuta hailesi iko sailensa tuu nakanyaga mguu wamafuta mpaka mwisho inaongeza kwambali sailensa lakin hailesi kabisa
Gari yangu ni Nissan xtrail, inatumia sensa kwenye mafuta haina waya kebo

Msaada tafadhali
View attachment 1696451
 

Attachments

  • IMG_20210201_082943_377.jpg
    89.1 KB · Views: 13
Hakuna mtu atakaye kutengenezea gari jamii forum zaidi ya wewe kutafuta fundi aliye karibu nawe akutatulie tatizo

Kwa nyongeza Nisan xtrail ni gari zinazo sumbua wengi sana na wakati mwingine husumbua hata ikiwa mpya,wengi wao wametoa baadhi ya spare nyingi na kufunga za Rav4 hasa Engine na gearbox
 
Anaweza kupata fundi hata humu JF.
 
Mkuu hongera kwa kumiliki gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…