Tupo tunaoweza kumshauri kuhusu matengenezo hata kama hatutamtengenezea.Hakuna mtu atakaye kutengenezea gari jamii forum zaidi ya wewe kutafuta fundi aliye karibu nawe akutatulie tatizo
Kwa nyongeza Nisan xtrail ni gari zinazo aumbua wengi sana na wakati mwingine husumbua hata ikiwa mpya,wengi wao wameto baadhi ya spare nyingi na kufunga za Rav4 hasa Engine na gearbox
Hii sensor hata Kama ikifa haiwezi kupoteza accelerator ,Air Mass Flow Sensor..! Unaweza kuisafisha au kuibadili kabisa mkuu
Peleka kwa Fundi Juma Pale Mikwambe yaan Chapu tuu linakaasawa na Roho yako itafurahia.......Mkuu RRONDO na mimi nifanyaje kwenye Bugatti yangu chiron used (2.5 m$ likiwa jipya 8m$) lina tatizo hilohilo
Si kweli... Hamzitinzi kwa kufuata masharti yakeXtrail magari bomu sana aisee.. Hasa hizo clutch zake hovyoo sana
Au fuse ya ETC inaweza kua imeingua, so check ETC (electric throttle control) fuse.. hii fuse ikiungua pia inafanya throttle body isifanye kazi.. pia kama ikiungua ni vuzuri kujua why imeingua at first place.Ngoja nkuamnie kitu hapo shida ipo kwenye accelerator pedal au throttle body yako. Kama gari yako inatumia throttle body ya umeme, maana yake ipo accelerator pedal ya umeme, sasa kwakua umesema waliosha gari ndani basi inawezekana potential-meter ya accelerator pedal yako iliingiliwa maji hivo resistance readings za potential meter hazipo sawa na kishindwa kua interpreted na computer ya gari (ECU) check kama kuna check engine light kwenye dashboard yako. So kama ni hivo ni hivo safisha potential meter ya accelerator yako kwa recommend fluid au replace.
JituMirabaMinne yupo smart na kazi yake, alishawahi nihudumia mala moja. Mie poa ni recomend huko atapa msaadaMcheki huyu jamaa Jitu la mirabaminne
Niliwahi kupata tatizo kama hilo kwenye xtrail, fundi alibadilisha relay tatizo likaisha. Japokuwa wakati mwingine linasababishwa na fuse.
Wanasemaga throttle yake ni ya umeme sio waya! Gari za toyota nyingi ni waya unavuta ndio gari ina resi!Natafuta fundi was nissan extrail morogoro mjini gari yangu inawaka lakini hailes Mafuta
Nikiweka switch on inafungua mafuta nawasha inawaka lakini nikikanyaga mafuta inaongeza kwambali Sana mlio lakini hailesWanasemaga throttle yake ni ya umeme sio waya! Gari za toyota nyingi ni waya unavuta ndio gari ina resi!
Nissan ni tofauti accelerator yake ina sensor ndio inafanya ifungue resi na kufunga! Kwa jina jingine wanaita ni ya umeme kwahio hapo ndipo penye tatizo bila shaka!
Yah mkuuUmesahau ulikuja na tatizo hili hili, View attachment 1768045
Huyo fundi wa jf angmtengezea gari kwa kucomment?maana mwenye gari ni kama hajui chichote sasa ataelekezwa nini ili afanye mwenyewe!Anaweza kupata fundi hata humu JF.